Home Top Ad

Responsive Ads Here

VIEO: Wizara ya Nishati na Madini imeomba kutengewa Trilioni 1 kama bajeti yake ijayo

23 minutes ago
[image: wizara] Wizara ya Nishati na Madini imepata time ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017.Waziri Sospeter Muhongo ndio alihusika kuiwasilisha Bungeni. Waziri Sospeter amesema…>>>’Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka 2016/17 ni jumla ya Shilingi 1,122,583,517,000. Kati ya fedha hizo, Shilingi 1,056,354,669,000 ni fedha za miradi […] The post VIDEO: Wizara ya Nishati na Madini imeomba kutengewa Trilioni 1 kama bajeti yake ijayo .

Picha 6: Basi liendalo Haraka Dar es salaam limeua mmoja leo May 19 2016

  23 minutes ago
[image: ajali 6] May 19 2016 katika eneo la Shekilango Jijini Dar es salaam imetokea ajali baada ya mwendesha bodaboda akiwa na abiria wawili kwenye pikipiki moja akijaribu kulipita gari lililokuwa mbele yake lakini pikipiki ikamshinda na kuanguka, pikipiki hiyo iliyokuwa imebeba Mama na mwanae. Mtoto alianguka upande wa barabara za mabasi yaendayo kasi na basi hilo likawa limempitia na kusababisha kifo 

VideoMPYA: Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’

Edwin TZA at MillardAyo.Com - 2 hours ago
[image: Aki] Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ ambayo imefanyika Cape Town South Africa ikiwa ni single yake ya kwanza kutoka chini ya mkataba na Sony Music aliousaini leo May 19 2016 Johannesburg South Africa, ukishaitazama utuachie comment yako ili akipita hapa na timu yake wajue watu wanasemaje ULIIKOSA SHOW YA LIVE YA ALIKIBA ALIKOWAITA […] The post VideoMPYA: Alikiba anakualika kuitazama video yake mpya inaitwa ‘Aje’ 
Reviewed by Unknown on 07:55:00 Rating: 5

No comments

Recent