Home Top Ad

Responsive Ads Here

mkuu wa shule ya sekondari ya kutwa ya mbeya (mbeya day) ashushwa cheo.


ni baada ya walimu wake ambao walikuwa mafunzoni kwa vitendo kumwadhibu mwanafunzi kinyume na haki za binadamu walimu hao ni kutoka chuo kikuu cha dar es salaam university collage of education (DUCE) na chuo kikuu cha kumbukumbu cha mwalimu nyerere , hii ni baada ya video kusambazwa mitandaoni ambayo ni ushahidi tosha na ivyo serikali kuchukua hatua hiyo na wanafunzi hao kukamatwa na kufutwa chuo. video hiyo ni hii hapa>>>>>
mkuu wa shule ya sekondari ya kutwa ya mbeya (mbeya day) ashushwa cheo. mkuu wa shule ya sekondari ya kutwa ya mbeya (mbeya day) ashushwa cheo. Reviewed by pongwa trading on 03:15:00 Rating: 5

No comments

Recent