Home Top Ad

Responsive Ads Here

Masanja atisha kwa utajili alionao

 Ni kweli kuwa vijana tunatakiwa kuwa wabunifu na kuto kuchagua kazi ili tuweze kufanikiwa kaika maisha yetu ya sasa. kwatakwimu inaonesha vijana wengi wasasa wanapenda kuwa na maisha mazuri paspo kujishughulisha na kitu chochote.

Unachotakiwa kufanya niyafuatayo. 

1.Fanya kazi wa bidii kwa kumtanguliza MUNGU kwa kila unacho kifanya

2.Muombe sana mungu akuoneshe kazi yako sahihi ya kufanya kwan yeye mwenyewe anasema

      nimekuleta Duniani kwa makusudi yangu.

3.Ishi na watu vizur kwan ndio watakao kupa mawazo mazuri a mafanikio hasa unapokuwa

      unahiaji ushauri mbalimbali.

4.Acha majivuno yasiyo na msingi kwani huijui kesho yako ipoje. Wengi huzania wakipata 

    wamepata kumbe kunakupanda na kushuka haya ndo maisha halisi ya binadam.

                              kalibu tena.


 

 

 


Masanja atisha kwa utajili alionao Masanja atisha kwa utajili alionao Reviewed by Unknown on 01:56:00 Rating: 5

2 comments

Recent