Home Top Ad

Responsive Ads Here

Matokeo ya majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 itakayozinduliwa

Utafiti uliofanywa na Flurry unaonyesha kwamba watu wengi wanaingia kwenye internet za simu zao kupitia App na App za simu za mkononi zimekuwa maarufu kiasi kwamba sasa unaweza kupata ya karibia kila kitu.
Kwa bahati mbaya, kwa sababu tunapenda sana kutumia Apps, tunaweza kujikuta tumefungua Apps nyingi kwa mpigo bila kufahamu madhara yake kwenye simu zetu, na unapofungua Apps nyingi kwa wakati mmoja unaweza kusababisha simu yako ifanye kazi katika kiwango cha chini.
Majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 yameonyesha kwamba unaweza kufungua app 50 kwa mpigo bila kupata tatizo lolote kwenye simu yako.
Matokeo ya majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 itakayozinduliwa Matokeo ya majaribio ya toleo jipya la TECNO Phantom 6 itakayozinduliwa Reviewed by pongwa trading on 02:09:00 Rating: 5

No comments

Recent