Home Top Ad

Responsive Ads Here

Jonas Mkude apata ajali ya gari

Kiungo na Nahodha wa timu ya Simba SC, Jonas Mkude amepata ajali baada ya gari waliokuwa wakisafiri nalo kupinduka katika eneo laDumila Mkoani Morogoro wakati wakirejea jijini Dar es salaam kutokea Dodoma.

Ajali hiyo iliyohusisha  gari yenye namba za usajili T 834 BLZ, Toyota VX imetokea baada ya gurudumu la nyuma ya gari hiyo kupasuka na kusababisha kifo cha mtu mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Shose na majeruhi kadhaa ambapo wamewahishwa kwenye hospitali ya Mkoa wa Morogoro kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Jonas Mkude apata ajali ya gari Jonas Mkude apata ajali ya gari Reviewed by Unknown on 02:25:00 Rating: 5

No comments

Recent