Home Top Ad

Responsive Ads Here

Wolper-Hakuna kama Alikiba

Malkia wa filamu bongo, Jacqueline Wolper amefunguka na kukiri kwamba alishawahi kutoka kimapenzi na msanii Alikiba huku akidai ndiyo mahusiano pekee yaliweza kudumu kwa muda mrefu na namba moja kwa uzuri mpaka sasa.


Wolper amebainisha hayo  kupitia ukurasa wa facebook EATV, baada ya kuulizwa swali lilomtaka aseme ni mahusiano yake gani aliyowahi kuwa nayo anaweza kuyapa nafasi ya kwanza kwa ubora mpaka hii leo.
“Katika wanaume wote niliowahi kuwa nao, mahusiano yangu na Ali Swalehe Kiba, 'Alikiba' ndiyo yalikuwa 'the best" - alisema Wolper.
Pamoja na hayo, Wolper amesema hawezi kukumbuka ameshatoka na wanaume wangapi mpaka muda huu kwa kile anachokidai kuwa anatatizo la kupoteza kumbukumbu (usahulifu).
Wolper-Hakuna kama Alikiba Wolper-Hakuna kama Alikiba Reviewed by Unknown on 02:28:00 Rating: 5

No comments

Recent