Home Top Ad

Responsive Ads Here

Prof. Muhongo atumbuliwa rasmi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Mwijarubi Muhongo kuanzia leo tarehe 24 Mei, 2017.

Prof. Sospeter Muhongo
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadaye.
Prof. Muhongo atumbuliwa rasmi Prof. Muhongo atumbuliwa rasmi Reviewed by Unknown on 00:02:00 Rating: 5

No comments

Recent