Home Top Ad

Responsive Ads Here

SportPesa super Cup yavunja rekodi kwa kutazamwa

Mashindano ya SportPesa Super Cup yanayoendelea kufanyika hapa nchini yamekadiriwa kukamata na kuteka hisia za wapenda soka na burudani zaidi ya Milioni 7 kwa siku mbili za kwanza za mchezo huo unaorushwa kupitia kampuni ya ITV na EATV.


Kwa mujibu wa kampuni ya Geopoll inayofanya utafiti kwenye vyombo vya habari yameonyesha kuwa mashindano ya SportPesa Super Cup yaliyoanza kuonyeshwa siku ya Jumatatu yametazamwa na watu mili 7.5, huku yakitarajiwa kuendelea leo.
SportPesa super Cup yavunja rekodi kwa kutazamwa SportPesa super Cup yavunja rekodi kwa kutazamwa Reviewed by Unknown on 01:21:00 Rating: 5

No comments

Recent