privacy policy
ni tovuti ambayo inashughulika na huduma mbalimbali za habari kama vile habari za kitaifa, habari za kimataifa, michezo, burudani, ukuaji wa sayansi na teknolojia au masomo ya tehama.
pia ni tovuti inayotoa masomo mbalimbali ya ujasiriamali na jinsi ya kujiajiri, hivyo tovuti hii itakusaidia sana kupata fursa mbalimbali za biashara na ujasiriamali au ajira.
tovuti haijihusishi na masuala ya picha za ngono au video za ngono hivyo huzingatia maadili ya watu wa kila aina na kila kabila ulimwenguni.
katika huduma zetu tunatoa pia fursa mbalimbali za kutangaza matangazo ya biashara kwa malengo ya kukuza vipaji pia hivyo ni tovuti yenye faida zake pia
katika michezo,
hapa tuanajadiri na kutoa taarifa mbalimbali zinazohusiana na michezo mbalimbali ulimwenguni kama vile football, netball na vole ball hivyo haichagui michezo.
habari za kimataifa.
hapa tunajadir habari zainazohusiana na nje ya nchi ya Tanzania
habari za kitaifa
hapa tunajadiri habari zinazohusiana na taifa au ndani ya Tanzania.
fursa mbalimbali
katika kategoria hii tunajadiri na kutoa taarifa zinazotoa fursa mbalimbali za biashara na ujasiriamali
ujasiriamali
hapa pia masomo mbalimbali yatolewayo kikubwa ni kufuata label ya ujasiriamali
onyo
ni marufuku kutoa mawazo au koment zenye kuchochea uvunjifu wa amani au matusi yeyote sheria ya kimitandao ya serikali ya Tanzania itachukua hatua kali juu ya atakaehusika
faida za tovuti hii
-hutoa fursa mbalimbali za ajira
-hutoa habari zenye uhakika na zenye amani
-kuwafanya watu waendane na wakati na kujua dunia inaelekea wapi
-kuburudisha jamii
-kufurahisha jamii
-kuelimisha jamii
-kutunza amali za jamii
katika tovuti hii inazingatia sheria za nchi na na kanuni zake pia inazingatia demokrasia ya nchi husika hivyo hutoa habari zilizokamilika na zenye mashiko zaidi
maoni yako pia ni muhimu sana kwetu kwani yatatufanya tuboreshe huduma zetu na kazi yetu kubwa kukupa habari ili usipitwe na ulimwengu wa dunia nzima
kwa msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo
ibrahramson@gmail.com
ibrahramson1@gmail.com
chullytz@gmail.com
chullytechnology@gmail.com
ibrahchully@hotmail.com
ibrahramson@hotmail.com
ibrahramson@outlook.com
ibrahramson@yahoo.com
tangaza nasi hapa biashara yako sasa
asanteni sana

Reviewed by Unknown
on
20:38:00
Rating: