Home Top Ad

Responsive Ads Here

HARMORAPA AFANYA KOLABO NA MSANII TOKA UBELGIJI


Kriticos amuomba kolabo harmorapa toka ubelgiji
Harmorapa aombwa kolabo na wasanii wa ulaya na kufwatwa mpaka nyumbani kwake. Jana tarehe 6/4/2017 msanii kutokea nchini ubelgiji alitua jijini dar kwa ajili ya kukutana na msanii chipkiz anaye kuwa kwa kazi nchin Tanzania na nanye jurikana kwa jina la HARMORAPA na kusema kuwa amevutiwa na uimbaji wa Harmorapa  na kilicho mteta nchini hapa.
Harmorapa alikili kumpokea mgeni wake huyo na kufanya mazungumzo naye kwa ajili ya project
yao hiyo.

SIKILIZA HII HAPA

HARMORAPA AFANYA KOLABO NA MSANII TOKA UBELGIJI HARMORAPA AFANYA KOLABO NA MSANII TOKA UBELGIJI Reviewed by Unknown on 05:49:00 Rating: 5

1 comment

Recent