Home Top Ad

Responsive Ads Here

HAYA NDIO MAAMUZI YA ADELE KUHUSU SAUTI YAKE


Adele staa wa hit single ya ‘hello’ ambaye amekuwa kwenye headlines za burudani Marekani na dunia nzima kwa kuuza nakala nyingi za single yake ya ‘Hello’ huku video yake ikiwa imegusa watazamaji zaidi ya bilioni moja ‘1,671,902,030’ kwenye mtandao wa YouTUBE.  
August 12 2016 ameingia kwenye headline baada ya kuwambia mashabiki kwamba imembidi kuacha kula pizza ili kulinda sauti yake. Staa huyo mwenye umri wa miaka 28 aliwaambia mashabiki akiwa Los Angeles kwamba nyanya zilizopikwa zinaweza kuharibu koo na sauti yake……
’mimi niko Marekani siwezi kula pizza tena, ni mbaya zaidi ya Romeo na Julieth, kama Shakespeare angekuwa hai angeweza kuandika kuhusu hilo’
HAYA NDIO MAAMUZI YA ADELE KUHUSU SAUTI YAKE HAYA NDIO MAAMUZI YA ADELE KUHUSU SAUTI YAKE Reviewed by pongwa trading on 11:39:00 Rating: 5

No comments

Recent