Home Top Ad

Responsive Ads Here

Jeshi la Polisi limepiga ‘STOP’ mikutano ya ndani inayohusu siasa nchin

Kutokana na matukio ya kiuhalifu yanayoendelea katika baadhi ya maeneo nchini, leo August 25 2016 Jeshi la Polisi limepiga marufuku mikutano yote ya kivyama ndani na nje ili kuzuia machafuko ya amani yanayoendelea kujitokeza katika kipindi hiki.
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam Kamishna wa Polisi CP Nsato Marijani amesema…>>>’Jeshi la polisi halikuzuia mikutano ya ndani ya siasa kwasababu tulikuwa tunaamini ni mikutano iliyokuwa ikizungumzia maendeleo ya wananchi
Lakini sasa tumebaini kwamba mikutano hiyo imekuwa ikitumika kucchochea wananchi na kuwahamasisha kuvunja sheria za nchi na kufanya mapambano na jeshi la polisi‘ –CP Nsato Marijani
Kwasababu hiyo basi kwa hali ya kutumia mikutano ya ndani kuchochea watu kuvunja sheria na kupambana na askari, hivyo basi kuanzia sasa jeshi la polisi nchini linapiga marufuku mikutano yote ya ndani‘ –CP Nsato Marijani
Jeshi la Polisi limepiga ‘STOP’ mikutano ya ndani inayohusu siasa nchin Jeshi la Polisi limepiga ‘STOP’ mikutano ya ndani inayohusu siasa nchin Reviewed by pongwa trading on 07:56:00 Rating: 5

No comments

Recent