Home Top Ad

Responsive Ads Here

MCHUNGAJI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUNGA KULA KWA SIKU 30

Huko Afrika ya Kusini, Mchungaji maarufu kwa jina la Alfred Ndlovu, amefarki dunia  baada ya kufunga kula kwa muda wa siku 30, usiku na mchana akitaka kuvunja rekodi ya Yesu kristo aliefunga kwa siku 40.
mchungaji huyo alikuwa akifunga usiku na mchana na  aliondoka nyumbani kwake na kukimbilia misituni huku akimuomba mungu ajiepushe na hanasa za duniani.
MCHUNGAJI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUNGA KULA KWA SIKU 30 MCHUNGAJI AFARIKI DUNIA BAADA YA KUFUNGA KULA KWA SIKU 30 Reviewed by pongwa trading on 04:19:00 Rating: 5

No comments

Recent