Home Top Ad

Responsive Ads Here

Stan Bakora kuitaja sciene iliompa ugumu kwenye uigizaji

Siku zote changamoto ni kama sehemu ya maisha inayomkuta kila binadamu, sasa mchekeshaji Stan Bakora leo August 12, 2016 kakubali kueleza scene ambayo ilimpa ugumu kwenye uigizaji.
Staa huyo akizungumza na millardayo.com & Ayo TV aliyaongea haya>>>Scene ambayo ilikuwa ngumu kwa upande wangu ni ile nilikuwa nmeshoot clip ya adhana nilidhani imepigwa msikitini kumbe imepigwa na mtu’
Nakumbuka nilikunywa maji mengi sana kila nilipokuwa nikiirudia basi lazima ninywe maji yaani tulitumia kama lisaa limoja na nusu kushoot hicho kipande’– Stan Bakora
Stan Bakora kuitaja sciene iliompa ugumu kwenye uigizaji Stan Bakora kuitaja sciene iliompa ugumu kwenye uigizaji Reviewed by pongwa trading on 12:06:00 Rating: 5

No comments

Recent