Home Top Ad

Responsive Ads Here

KAULI TATA ZA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

mkanganyiko umejitokeza kwa wananchi wa Tanzania juu ya kauli zake ambazo zimekuwa tata kueleweka, kauli hizo ni kama vile:-
-mimi sijaribiwa na kama kuna watu wanawatuma wakawambie.hii ni baada ya kambi ya upinzani kutangaza maandamano nchi nzima juu ya ukandamizaji wa demokrasia kwamba kusifanyike shughuri zozote mpaka mwaka 2020
-majengo ya taifa ntayapiga mnada nikihamia Dodoma.
na kauli mbalimbali zinginezo pia
KAULI TATA ZA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAULI TATA ZA RAISI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Reviewed by pongwa trading on 01:30:00 Rating: 5

No comments

Recent