Home Top Ad

Responsive Ads Here

jinsi ya kudownload video Kwenye account yako ya FACEBOOK

kwa mara nyingine tena nakupa maujanja ujanja ili usiachwe nyuma.
leo ntakupa njia moja tu ya kudownload video kwenye facebook, sasa unachotakiwa kufanya nenda kwenye Google store au play store yako kisha search fb downloader zitakuja pale nyingi nyingi  chagua uipendayo kisha install.
baada ya installation ingia na usain yaani sign in baada ya hapo utaweza download video uipendayo.
 njia zingine ambazo ni nzuri na rahisi utazipata apa apa kwenye hii blog unachotakiwa kufanya ni kutembelea mara kwa mara tu.
jinsi ya kudownload video Kwenye account yako ya FACEBOOK jinsi ya kudownload video Kwenye account yako ya FACEBOOK Reviewed by pongwa trading on 23:37:00 Rating: 5

No comments

Recent