Home Top Ad

Responsive Ads Here

JE WAJUA SIMU YAKO INAWEZA KUWA REMOTE YA COMPUTER YAKO?


habari mpya na njema kwa wewe mwenye matumizi makubwa ya computer au PC. leo nakupa somo zuri linalohusu unified remote.
unified remote ni software ambayo inakuwezesha kuunganisha simu yako na kuifanya iwe kama remote ya PC yako. unachotakiwa kufanya ni ivi:-
i.    download software yako ambayo inaitwa unified remote au server.
ii.   install iyo server yako katika computer yako.
baada ya hapo itakuwa tayari.
iii.   ingia katika simu yako sehemu ya kudownload application mbalimbali yaani play store au google store na usearch remote au unified remote.
iv.  baada ya hatua hizo anza kukonnect kati ya pc na simu hapa unaweza kutumia njia ya bluetooth kwa kutumia device zote yani ya pc na simu au kwa kutumia WI-FI na hapo utakua tayari kuitumia simu yako kama remote katika computer yako.
JE WAJUA SIMU YAKO INAWEZA KUWA REMOTE YA COMPUTER YAKO? JE WAJUA SIMU YAKO INAWEZA KUWA REMOTE YA COMPUTER YAKO? Reviewed by pongwa trading on 12:40:00 Rating: 5

No comments

Recent