Home Top Ad

Responsive Ads Here

Wachezaji wa Azam FC walivyokabidhiwa Ngao yao na Waziri Nchemba

August 17 2016 kuelekea kuanza kwa Ligi Kuu soka Tanzania bara uwanja wa Taifa Dar es Salaam ulichezwa mchezo wa Ngao ya Hisani kati ya Yanga dhidi ya Azam FC, katika mchezo huo Azam FC walifanikiwa kuibuka na ushindi wa penati 4-1, hiyo ni baada ya dakika 90 kumalizika kwa sare ya goli 2-2, baada ya hapo Azam FC walikabidhiwa Ngao yao ya Hisani na waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba.
Wachezaji wa Azam FC walivyokabidhiwa Ngao yao na Waziri Nchemba  Wachezaji wa Azam FC walivyokabidhiwa Ngao yao na Waziri Nchemba Reviewed by pongwa trading on 04:45:00 Rating: 5

No comments

Recent