Home Top Ad

Responsive Ads Here

USITEGEMEE POGBA AKIICHEZEA MAN UTD WIKIEND HII

Najua inawezekana wewe ni mmoja kati ya mashabiki wa soka duniani wanaosubiri kumuona staa wa kimataifa wa Ufaransa aliyejiunga na Man United akitokea Juventusya Italia Paul Pogba akiichezea Man United katika mchezo wa ufunguzi wa Man Uniteddhidi ya Bournemouth weekend hii.
Stori kutoka chama cha soka cha England FA kimethibitisha staa huyo kufungiwa kucheza mechi ya ufunguzi kutokana na kuwa na adhabu ya kadi mbili za njano alizooneshwa katika michuano ya Copa Italia akiwa na Juventus ya Italia, adhabu ambayo kwa mujibu wa kanuni anahama nayo.
Paul-Pogba-competes-with-Alessandro-Florenzi
Paul Pogba alijiunga na Man United akitokea Juventus ya Italia kwa ada ya uhamisho wa rekodi ya dunia wa pound milioni zaidi ya 100, lakini Paul Pogba anaungana naRobert HuthMoussa Dembele na Chris Smalling  waliofungiwa na FA kucheza mechi za ufunguzi.

USITEGEMEE POGBA AKIICHEZEA MAN UTD WIKIEND HII USITEGEMEE POGBA AKIICHEZEA MAN UTD WIKIEND HII Reviewed by pongwa trading on 11:46:00 Rating: 5

No comments

Recent