Home Top Ad

Responsive Ads Here

SAHAU HABARI ZA WADUDU KWENYE SIMU YAKO

kama unasumbuliwa na virusi katika simu yako hasa kwa wale wanaotumia smart phone (android) sasa dawa hii hapa.
na jinsi gani utaweza kugundua kuwa simu yako inasumbuliwa na wadudu dalili zake ni kama vile:-
i.   simu inakuwa nzito mara kwa mara
ii.  mafaili yako au application baadhi zinagoma kufanya kazi
iii. na mafaili mengine yanapotea
sasa nenda kwenye play store kisha download Eset Mobile Security &Antivirus na sahau kabisa tatizo la wadudu.
SAHAU HABARI ZA WADUDU KWENYE SIMU YAKO SAHAU HABARI ZA WADUDU KWENYE SIMU YAKO Reviewed by pongwa trading on 22:25:00 Rating: 5

No comments

Recent