Home Top Ad

Responsive Ads Here

SAFARI YA DODOMA YAZUA MIJADARA MBALIMBALI

serikali kuu ya Tanzania rasmi yaamia Dodoma, Uamuzi uliotolewa na raisi wa awamu ya tano DK John Pombe Maghufuli yakwamba razima katika kipindi chake cha uongozi Ikulu ihamie makao makuu ya nchi mkoani Dodoma.
Uamuzi huu umezua mijadara mbalimbali kwa wananchi na wachambuzi wa siasa, kuwa amefanya uwamuzi huu haraka sana kwani kuna matatizo mengi bado hayuajapatiwa ufumbuzi jinsi ya kutatuliwa.
SAFARI YA DODOMA YAZUA MIJADARA MBALIMBALI SAFARI YA DODOMA YAZUA MIJADARA MBALIMBALI Reviewed by pongwa trading on 23:15:00 Rating: 5

No comments

Recent