Home Top Ad

Responsive Ads Here

Amber Lulu apatwa kigugumizi kisa Harmorapa

Video queen na msanii wa bongo fleva Amber Lulu amepatwa na kigugumizi baada ya kuulizwa kuhusiana na kutoka kimapenzi na Harmorapa na kujikuta akipata wakati mgumu kuelezea jambo hilo. 


Amber Lulu alihojiwa na kusema picha zinazozangaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuonyesha yeye na Harmorapa ni picha katika project yao wao. 
Tazama video hapa msikilize mwenyewe Amber Lulu akinyoosha maelezo. 
Amber Lulu apatwa kigugumizi kisa Harmorapa Amber Lulu apatwa kigugumizi kisa Harmorapa Reviewed by Unknown on 02:59:00 Rating: 5

No comments

Recent