Home Top Ad

Responsive Ads Here

Mwanamitindo maarufu Chanel Iman wa Marekani yuko Tanzania

Moja kati ya stori ambayo inaendelea kutrend kwenye mitandao ya kijamii ni ya Mwanamitindo maarufu wa Marekani Chanel Iman ameitembelea Tanzania, amepost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa Serengeti, na  miongoni mwa walio-like ni Rapper Fabolous.

Mwanamitindo maarufu Chanel Iman wa Marekani yuko Tanzania Mwanamitindo maarufu Chanel Iman wa Marekani yuko Tanzania Reviewed by Unknown on 02:30:00 Rating: 5

No comments

Recent