Home Top Ad

Responsive Ads Here

JPM kumvutia waya msanii maarufu DIAMOND PLATNUM

raisi wa jamhuri ya muungano wa TANZANIA DK. John Pombe Magufuli alimpigia simu msanii Diamond kwa jina lake halisi NASIBU ABDUL,

simu hiyo alipigiwa baada ya kueleza changamoto wanazokumbana nazo wasanii na haki zao na kuahidi atawashughulikia tatizo lao ikiwemo waimbaji na waigizaji 
pia raisi JPM, amesema atakaa nao na kuwasikiliza matatizo yao yote 

"nawependa wote hata wale wengine waigizaji nawapendi.......na wale shilawadu pia" alisema raisi
JPM kumvutia waya msanii maarufu DIAMOND PLATNUM JPM kumvutia waya msanii maarufu DIAMOND PLATNUM Reviewed by Unknown on 23:12:00 Rating: 5

No comments

Recent