Home Top Ad

Responsive Ads Here

UONGOZI WA CLOUDS MEDIA UMEWEKA SAWA SAKATA LA VIDEO INAYOSAMBAA KUHUSU PAUL MAKONDA NA MCHUNGAJI GWAJIMA

Leo tarehe 19 mwezi machi, mnamo majira ya saa 6:15PM, rasmi uongozi wa clouds fm umetoa taarifa kwa umma na kwa wapenzi wa media yao kuhusu video inayosambaa mitandaoni juu ya sakata la mwana mama mmoja  mwenye mtoto, paul makonda mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na mchungaji wa kanisa la ufufuo Gwajima.

habari iyo uongozi wa clouds umesema ni kweli habari iyo ilianza kwa kulisitisha swala la mama mwenye mtoto la kutoboa kuhusu mtoto huyo lakini uongozi haukua tayari kutangaza jambo hilo kupitia kipindi chao cha SHILAWADU kwa sababu suala lake halikua na mashiko,

hivyo uongozi huo umetoa tamko la kufanya uchunguzi juu ya uvamizi wa mkuu wa mkoa Poul makonda kuvamia clouds fm, na kufafanua kua watashirikiana na idara ya ulinzi ya kampuni hiyo ambayo ni watu  wa CCTV na kumba wananchi wawe wavumilivu na watulie mpaka uchunguzi huo utakapo kamilika.
UONGOZI WA CLOUDS MEDIA UMEWEKA SAWA SAKATA LA VIDEO INAYOSAMBAA KUHUSU PAUL MAKONDA NA MCHUNGAJI GWAJIMA UONGOZI WA CLOUDS MEDIA UMEWEKA SAWA SAKATA LA VIDEO INAYOSAMBAA KUHUSU PAUL MAKONDA NA MCHUNGAJI GWAJIMA Reviewed by Unknown on 08:31:00 Rating: 5

No comments

Recent