Home Top Ad

Responsive Ads Here

nike wazindua hijabu kwa ajili ya mazoezi kwa wanawake wa kiislamu

kampuni ya nike imezindua hijabu kwa ajili ya kufanyia mazoezi akina mama wa kiislamu, hii ni baada ya dini ya kiislamu kuwa na msimamo mkali na kufuata maadili yake kwa waumini wake wote hivyo kutokana na sheria hizo kampuni ya nike imezindua vazi hilo kwa ajili ya wanawake duniani hasa katika suala la michezo
nike wazindua hijabu kwa ajili ya mazoezi kwa wanawake wa kiislamu nike wazindua hijabu kwa ajili ya mazoezi kwa wanawake wa kiislamu Reviewed by Unknown on 02:40:00 Rating: 5

No comments

Recent