Home Top Ad

Responsive Ads Here

Tundu Lissu ashinda uraisi wa chama cha sheria TLS

Kutoka Arusha nafasi ya Urais Chama cha wanasheria nchini (TLS) Tundu Lissu ameshinda kiti hicho kwa zaidi ya asilimia 88 ya kura zote.

Nimeshinda urais TLS, ushindi huu uende kwa watanzania wote, ushindi huu uende kwa wote mlioonewa ambao mpo maabusu na magerezani by Lissu

Tundu Lissu ashinda uraisi wa chama cha sheria TLS Tundu Lissu ashinda uraisi wa chama cha sheria TLS Reviewed by Unknown on 04:15:00 Rating: 5

No comments

Recent