Home Top Ad

Responsive Ads Here

Humphery Polepole afunguka haya juu ya Kinana

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Humphery Polepole leo amefunguka na kuweka wazi juu ya hali ya Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana na kusema kuwa kiongozi huyo kwa sasa hayupo nchini. 


Humphery Polepole akiongea na waandisha wa habari leo Makao Makuu ya Chama hicho Lumumba amedai kuwa Katibu Mkuu wa CCM amekwenda nje kwa matibabu 
"Katibu Mkuu wa CCM Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana yuko nje ya nchi kwa matibabu na kuangalia Afya yake na anaendelea vyema"- Alisisitiza Humphery Polepole 
Mbali na hilo Polepole amedai kuwa CCM ni chama cha mfano kwa kurithisha maarifa kutoka kwa wazee na kuwafikishia vijana na kujenga msingi wa kuwa viongozi bora.
 
Humphery Polepole afunguka haya juu ya Kinana Humphery Polepole afunguka haya juu ya Kinana Reviewed by Unknown on 06:49:00 Rating: 5

No comments

Recent