Home Top Ad

Responsive Ads Here

Chid Benzi azungumzia kolabo na Joh Makini.

Rapa Chid Benz amedai kolabo yake na Joh Makini ilishindikana baada ya kushindwa kuwasiliana na msanii huyo baada ya kumaliza Kilimanjaro 'Tour' na baadae mambo mengine kutokea ambayo yalikwamisha yeye kukutana na Joh Makini. 

Chid Benz Chuma amezungumza hayo kwenye kipindi cha Bongofleva Top 20  ya EATV leo na kusema siku zote alikuwa na mipago ya kufanya kazi na msanii huyo kutoka kundi la Weusi na hata walipokutana kwenye kazi walikubaliana wakirudi Dar es salaam wafanye kazi.ie kazi".
Chid Benzi azungumzia kolabo na Joh Makini.  Chid Benzi azungumzia kolabo na Joh Makini. Reviewed by Unknown on 07:01:00 Rating: 5

No comments

Recent