Home Top Ad

Responsive Ads Here

kwa nini simu yako inashuka mtandao mpaka E au E+ ?

watumiaji wengi wa simu wanapotaka kuingia kwenye mtandao simu zao zinakua hazina nguvu na kusoma E au E+. basi sogea leo ujumuike na sisi kuondokana na tatizo hili

kuna hatua mbalimbali za kuzipitia ili kuondokana na tatizo hili na simu yako kupanda mtandao moja kwa moja bila kushuka E.

1.kwanza nenda kwenye simu yako sehemu ilioandikwa setting, kisha nenda kuna sehemu kwa chini imeandikwa more ingia hapo

2.kisha baada ya kuingia hapo kuna sehemu imeandikwa mobile network
3. utaingia hapo kisha kuna options utaziona wewe utakachofanya ni kuchagua option ilioandikwa preferred network type au kwenye simu zingine itaandikwa network type utaingia hapo
4. baada ya kuingia hapo utaona options zingine tatu utachagua option moja ambayo ndio inanguvu ya kupandisha mtandao na kua inanguvu muda wote. utaona neno limeandikwa  WCDMA only.
5. baada ya hapo save, kisha rudi nyuma kidogo na uende sehemu iliondikwa access point names
6.baada ya hapo ingia sehemu iliondikwa  APNs, hapa kama simu yako ni laini moja itasoma mtandao mmoja tu au kama laini mbili zitasoma zote ila utachagua lain ambayo unaitaka kuitumia kwenye mtandao
7. kisha baada ya kuingia hapo utafanya settingi zifuatazo
         APN type_default,sulp
 pia utaendelea na hizo setting kama utakavyoona kwenye picha  hapa utaset vitu vifuatavyo
authentication type, APN protocol na APN roaming protocal kama inavyoonekana katika hiyo picha chini
         NB: kuna baadhi ya simu hazina uwezo wa kupandisha laini zote mara nyingi laini ya kwanza au laini namba moja ndio imepewa power ya ku access mtandao
baada ya hapo utasave ili ku apply changes.


asanteni sana kamahaujaelewa toa comment yako tuatkuelekeza vizuri sana na utaelewa
kwa nini simu yako inashuka mtandao mpaka E au E+ ? kwa nini simu yako inashuka mtandao mpaka E au E+ ? Reviewed by pongwa trading on 13:02:00 Rating: 5

No comments

Recent