Home Top Ad

Responsive Ads Here

mapambano ya dawa za kulevya yapamba moto mkoani morogoro

jeshi la polisi mkoa wa morogoro likiwa ktk harakati za kupambana na madawa ya kulevya pamoja na pombe kali za viroba...linawashikilia jumla ya watuhumiwa 25 kwa kosa la kusafarisha viroba 31 vya bhang pamoja na karton 128 za pombe kali za viroba...kamanda wa polisi mkoa wa morogoro Sacp- Urlich Matei amethibitisha kutokea kwa matukio hayo.
mapambano ya dawa za kulevya yapamba moto mkoani morogoro mapambano ya dawa za kulevya yapamba moto mkoani morogoro Reviewed by Unknown on 01:02:00 Rating: 5

No comments

Recent