Home Top Ad

Responsive Ads Here

MENGI NAE AFUNGUKA KUHUSU UVAMIZI ULIOTOKEA CLOUDS FM.

leo mwezi machi 20, mwenyekiti wa waandishi wa habari na vyanzo vya habari Tanzania amefunguka leo na kuhusu sakata la uvamizi wa clouds FM.

DK. Reginard Mengi amesema kuhusiana na tukio hilo la uvamizi wa clouds fm lilitokea ijumaa ya tarehe 17 machi usiku.
amesema ni hatari sana kuvamia vyombo vya habari kwa silaha na ujasili huo ameutoa wapi wa kuvamia na lazima wachukue hatua kama wasimamizi na wahusika wa vyombo vya habari


".......kiburi cha kufanya hivyo ametoa wapi?................kwetu sisi ni jambo la hatari............anapochukua bunduki au bastola lazima ataitumia................laziama hatua itachukulia ili jambo hili lisijirudie tena............."alisema MENGI


MENGI NAE AFUNGUKA KUHUSU UVAMIZI ULIOTOKEA CLOUDS FM. MENGI NAE AFUNGUKA KUHUSU UVAMIZI ULIOTOKEA CLOUDS FM. Reviewed by Unknown on 04:22:00 Rating: 5

No comments

Recent