Home Top Ad

Responsive Ads Here

TRAILER: Watch 'Joshua', a new movie about University life


Joshua ni kijana aliye barikiwa kuwa na akili sana darasani
na hii ndio inamfanya apendwe sana na watu. Hii inamfanya binti mrembo tina kujikuta akizama katika penzi zito, bila kujali ukata alionao Joshua. Vp tina atawezaje kukabiliana na upinzani wa mabinti wengine wanaogombania penzi la Joshua?, Je vipi kuhusu uzuri wa Tina unaogombaniwa na vibopa?...Hii si ya kukosa ni vitimbwi, mikasa, vituko, usaliti, mapenzi yote ndani ya movie moja

Angalia Trailer nzima hapa....

TRAILER: Watch 'Joshua', a new movie about University life TRAILER: Watch 'Joshua', a new movie about University life Reviewed by Unknown on 09:14:00 Rating: 5

No comments

Recent