Home Top Ad

Responsive Ads Here

Mtu na dada yake waoana na kuzaa watoto wawili

March 14 2017 kupitia Leo Tena ya Clouds FM, Mtangazaji Geah Habib


 ameileta hekaheka kutoka Dar es Salaam ambayo inawahusu ndugu wawili;
 mtoto wa mama mkubwa na mtoto wa mama mdogo ambao wako katika mahusiano ya kimapenzi na tayari wamezaa watoto wawili huku dada mtu akiwa na ujauzito wa mtoto wa tatu.
Mtu na dada yake waoana na kuzaa watoto wawili Mtu na dada yake waoana na kuzaa watoto wawili Reviewed by Unknown on 22:58:00 Rating: 5

No comments

Recent