Home Top Ad

Responsive Ads Here

sikujifunza na wala sinampango wa kujifunza kingereza "ALIKIBA"

Msanii mkongwe na maarufu alikiba amefunguka kuhusu kuongea lugha ya kingereza baada ya watu wengi kuzungumzia kua kingereza kwake ni shida.

baada ya  maneno hayo kutoka kwa mashabiki wake KIBA amefunguka na kusema yeye hakujifunza amejiua lugha hiyo kiujanja ujanja tu na hana mpango huo wa kukaa darasani kujifunza lugha hiyo.

"mimi sikujifunza ila ni ujanja ujanja tu na nikiwasiliana kwa kutumia kingereza tunaelewana vizuri tu hivy haina haja ya kujifunza......hakuna anaejua kiwango cha elimu yangu wala nilivyokua nasoma"- alisema Alikiba
sikujifunza na wala sinampango wa kujifunza kingereza "ALIKIBA" sikujifunza na wala sinampango wa kujifunza kingereza "ALIKIBA" Reviewed by Unknown on 04:27:00 Rating: 5

No comments

Recent