Home Top Ad

Responsive Ads Here

Mike Sonko aweka wazi vyeti vyake vya elimu.

kutoka nchini NAIROBI.

Seneta wa Jiji la Nairobi nchini Kenya, Mike Sonko ameamua kuweka wazi vyeti vyake ili kuwajibu waliodai hana vyeti
Hii ni baada ya watu kudai hana elimu na kama anayo aviweke wazi vyeti hivyo.


Mike Sonko aweka wazi vyeti vyake vya elimu. Mike Sonko aweka wazi vyeti vyake vya elimu. Reviewed by pongwa trading on 01:13:00 Rating: 5

No comments

Recent