Home Top Ad

Responsive Ads Here

nipo tayari kubadiri dini "Recho"

msanii wa bongo fleva afunguka mara baada ya mashabiki wake kudhani kua tayari ameshahama THT. alihojiwa leo katika kipindi cha leo tena kinachorushwa na redio ya clouds fm
msanii huyo akidai kua bado yupo THT na watu watarajie kazi zake mpya baada ya wiki moja au mbili.
 "mimi bado nipo THT ila nilisimama kidogo" alisema recho

pia mwanamuziki huyo ameweka wazi baada ya watu kudai kua anamahusiano na mwarabu huko chini dubai

"ni kweli ninamahusiano na mwarabu na yapata mwaka sasa tangu tuanze mahusiano yetu.......wazazi wake na ndugu zake wanafahamu ila anaenijua ni dada yake...."

pia msanii huyo amesema yupo tayari kuana nae japo suala la ndoa sio la kawaida na pia yupo tayari kubadiri hata dini.

"....ndio nipo tayari kubadiri dini..."

pia amefunguka baada ya kuulizwa kwa nini amempenda na kusema anapenda rangi nyeupe hasa 

"...yani naipenda rangi nyeupe tu hasa..."


nipo tayari kubadiri dini "Recho" nipo tayari kubadiri dini "Recho" Reviewed by Unknown on 05:58:00 Rating: 5

No comments

Recent