Home Top Ad

Responsive Ads Here

Mimi si msagaji zile ni pombe - Jike Shupa

Video Queen ambaye alishiriki katika video ya Nuh Mziwanda 'Jike Shupa' na kujipatia jina la Jike Shupa amefunguka na kusema yeye si msagaji ila pombe ndiyo zilipelekea yeye kum kiss video quen Nai na kusema kitendo hicho kinamfanya ajisikie vibaya

Jike Shupa aliyasema hayo jana kwenye kipindi cha Friday Night Live na kuwaomba msahama Watanzani wamsamehe kwa kitendo kile alichokifanya kwa mdada mwenzake.
Mimi si msagaji zile ni pombe - Jike Shupa Mimi si msagaji zile ni pombe - Jike Shupa Reviewed by Unknown on 07:04:00 Rating: 5

No comments

Recent