Home Top Ad

Responsive Ads Here

MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA CCM

MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA NA CCM KUGOMBEA UBUNGE AFRIKA MASHARIKI

CCM imepeleka bungeNI majina ya wagombea 12 wa ubunge wa EALA. Wabunge watapiga kura kuchagua wabunge 6 ambapo 3 ni wanaume na 3 wanawake.
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Polepole akizungumza na wanahabari leo Jijini Dar es salaam ameeleza kuwa mchakato wa kuwapata wagombea ubunge wa EALA Kamati Kuu imezingatia Uadilifu, Uaminifu, Uzalendo, Uchapakazi, Maarifa ya mgombea na kuiishi Imani ya mwanachama wa CCM.
MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA CCM MAJINA 12 YA WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE NA CCM Reviewed by Unknown on 07:13:00 Rating: 5

No comments

Recent