Home Top Ad

Responsive Ads Here

Majina 26 ya wachezaji walioitwa na kocha Mayanga Taifa Stars

March 13 2017, kocha wa muda wa timu ya Taifa la Tanzania Salum Mayanga alitangaza majina ya wachezaji 23 watakaounda kikosi cha Taifa Stars. Mayanga ambaye amerithi nafasi hiyo kutoka kwa kocha Charles Boniface Mkwasa ametaja majina ya wachezaji hao leo.
Wachezaji hao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya FIFA.
Goalkeepers                 
-Deo Munishi
-Aishi Manula
-Said Mohamed
Defenders
-Erasto Nyoni
-David Mwantika
-Hassan Kessy
-Mohamed Hussein
-Salim Mbonde
-Abdi Banda
-Shomari Kapombe
-Gadiel Michael
Midfielders
-Himid Mao
-Jonas Mkude
-Said Ndemla
-Mzamiru Yassin
-Salum Abubakari
-Frank Domayo
Wingers
-Simon Msuva
-Farid Mussa
 -Shiza kichuya
-Hassan Kabunda
Forwads
-Mbaraka Yusuph 
-Abdulrahman Mussa
-Ibrahim Hajibu
-Thomas Ulimwengu
-Mbwana Samatta
Majina 26 ya wachezaji walioitwa na kocha Mayanga Taifa Stars Majina 26 ya wachezaji walioitwa na kocha Mayanga Taifa Stars Reviewed by Unknown on 03:07:00 Rating: 5

No comments

Recent