Home Top Ad

Responsive Ads Here

Polisi DSM imethibitisha kumuachia Vanessa Mdee kwa dhamana

Mwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdee amekaa kwenye vichwa vya habari kwenye hizi siku 5 na ni baada ya Polisi kuthibitisha kwamba imemshikilia kutokana na tuhuma za sakata la dawa za kulevya.
Leo jioni Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kwamba Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana >>> “Ndio, tumempa dhamana wakati tunaendelea na uchunguzi… amepewa aripoti kesho”
Polisi DSM imethibitisha kumuachia Vanessa Mdee kwa dhamana Polisi DSM imethibitisha kumuachia Vanessa Mdee kwa dhamana Reviewed by pongwa trading on 22:22:00 Rating: 5

No comments

Recent