Home Top Ad

Responsive Ads Here

TOP 10 YA WASANII WENYE NYOTA KALI NA WANAOKUJA KWA KASI

Hivi karibu kumeshuhudiwa idadi kubwa ya wasanii ambao wanachipukia kwa kasi na speed ya ajabu ambao ndio wamechabgia kwa kiasi kikubwa mabadiliko ambayo tunayashudia hii Leo na kufanya kiwepo na ushindani mkubwa katika gemu tofauti na zamani ilikuwa rahisi kwa Msanii kutoka ,hivyo Leo nimekuandalia nakala fupi ya orodha ya wasanii 10 wanaokuja kwa kasi ya ajabu kama ifuatavyo;
10 JERRY GREY Jamaa anatokea pande za iringa na anafanya muziki Wa hip hop anatamba kwa sasa na wimbo unaitwa tenzi za hisia.
EKEL ZE DON huyu ni Msanii kutoka jijini dar es salaama anatamba na wimbo wake Mpya uliofanywa na studio ya Pamoja record unaitwa  USILIE Jamaa nateka hisia za watu hasa ambao wako kweny uhusiano
IVAN CLASSIC ni moja kati ya wasanii ambao wanamashairi Fulani hivi kama usipokuwa makini unaweza ukaelewa tofauti na anavyoomaanisha yeye,anatokea pande za iringa 
 HERMORAPA Jamaa anafanya Muziki Wa hip hop na kwa sasa nimoja kati ya watu ambao wanatumia nguvu nyingi sana kupata kiki kwenye media ingawa pia anajitahidi kufanya vizuri anatokea pande za mtwara lakin anaishi dar
SOUBER SNEAR  anatokea pande za dar es salaam anatamba na wimbo Mpya ambao yeye amekuwa akizungumza katika interview mbalimbali kuwa ni story ya kweli ambayo alimwimbia mpenzi wake 
BASAGA anatokea pande za dar na aliwahi kukualiliwa akisema yeye kwa sasa anahitaji bodyguard ili amkinge na vibaka akina ney Wa mitego anatokea DMS record pande za sinza na kiukweli anazidi kutema ramani za music has a kwa style take Fulani ya kurap 
4JUNIOR PROSPER anatokea mkoa Wa kigoma na ni mwanachuo wa Jordan university anawahi kufanya hit kadhaa ambazo zilifanya vizuri sana kwa mikoa ya magharibi lakini kwa sasa anaonekana kuishika Tanzania hasa kwa wimbo wake Mpya alioutambulisha juzi unaitwa Don't cry hongera sana bro
ASKOFU Jamaa anatokea chuo kikuu cha dar es salaam anatisha sana ni moja kati ya watu wanaokuja kwa kasi ya majabu na wimbo wake Wa hivi karibu ulifanyika chini ya mazuu record unaitwa unanifaa 
NOEL GYPSUM anatokea pande za mwanza anatamba na ngoma ya tulia na mim aliomshirikisha Centano
SAYKILLER BAYO anatokea pande za Arusha anakuja kwa kasi na speed ya ajabu toka anatamba na wimbo unaitwa haya mapenzi
TOP 10 YA WASANII WENYE NYOTA KALI NA WANAOKUJA KWA KASI TOP 10 YA WASANII WENYE NYOTA KALI NA WANAOKUJA KWA KASI Reviewed by Unknown on 07:25:00 Rating: 5

No comments

Recent