Home Top Ad

Responsive Ads Here

Raisi DK. John Pombe Magufuli afuta agizo la kuoana mpaka vyeti vya kuzaliwa.

taarifa kwa umma, raisi wa jamhurin ya muungano wa TANZANIA amefuta sheria ya kuoana maka kuwe na vyeti vya kuzaliwa.

sheria hiyo ameifuta akiwa mjini DODOMA na kutaja changamoto mbalimbali za utoaji wa vyeti hivyo itakua ngumu sana kutoa huduma ipasavyo na itasababisha watu wasioane.

hii ni baada ya waziri wa Sheria kutunga sheria hiyo na kuiweka wazi 
Raisi DK. John Pombe Magufuli afuta agizo la kuoana mpaka vyeti vya kuzaliwa. Raisi DK. John Pombe Magufuli afuta agizo la  kuoana mpaka vyeti vya kuzaliwa. Reviewed by pongwa trading on 01:25:00 Rating: 5

No comments

Recent