Home Top Ad

Responsive Ads Here

Justin Bieber bandia ashtakiwa kwa makosa 900

.Mwanamume mmoja nchini Australia aliyejisingizia kuwa mwimbaji Justin Bieber na kutafuta picha za watoto za aibu ameshtakiwa kwa makosa 900 ya kuwadhalalisha watoto
Inadaiwa kuwa mtu huyo mwenye umri wa miaka 42 alitumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na watoto hao.
Awali alikuwa ameshtakiwa kwa kuwa na vifaa vya kuwadhalalisha watoto na uchunguzi zaidi ulisababisha mtu huyo kushtakiwa kwa makosa na ubakaji na kuwatumia watoto vibaya.
Polisi walisema kwa kuwa watoto wengi waliamini kwamba walikuwa wakiongea na Bieber, wazazi wanapaswa kutafuta njia bora zaidi za kuwaelimisha watoto jinsi ya kuwasiliana kupitia mitandao ya kijamii.
Justin Bieber bandia ashtakiwa kwa makosa 900 Justin Bieber bandia ashtakiwa kwa makosa 900 Reviewed by Unknown on 05:23:00 Rating: 5

No comments

Recent