Home Top Ad

Responsive Ads Here

nyanya ni tunda maarufu DUNIANI

Ikiwa ungeulizwa kutaja tunda bora zaid duniani , labda nyanya haitakuwa akilini mwako. Lakini unalolihitaji kulifahamu ni kuwa nyanya huzalishwa kwa wingi zaidi duniani kuliko tunda lolote lile.
Baadhi ya watu hudai kuwa tunda la embe ndilo maarufu zaidi duniani kwa misingi kuwa linaliwa kwenye nchi nyingi zaidi kuliko tunda lolote lile.
Lakini ikiwa utapima umaarufu kwa uzalishaji kote duniani, embe liko nyuma ya tufaa nahata ndizi.
Kuna zaidi ya tani 100 za ndizi ambazo huzalishwa kila mwaka huku India ikiwa ndizo mzalishaji mkuu.
nyanya ni tunda maarufu DUNIANI nyanya ni tunda maarufu DUNIANI Reviewed by Unknown on 02:54:00 Rating: 5

No comments

Recent