Home Top Ad

Responsive Ads Here

Real Madrid yatinga robo fainali

Katika mchezo mwingine wa ngazi ya timu 16, Sergio Ramos alipachika mabao mawili na kuipatia ushindi Real Madrid wa mabao 3-1 waliokuwa wakicheza ugenini dhidi ya Napoli.

Vijana hao wa Zinedine Zidane walishinda kwa jumla ya mabao 6-2 na kujihakikishia nafasi ya kucheza robo fainali. Alvaro Morata alifunga bao la tatu la Real Madrid.
Real Madrid yatinga robo fainali Real Madrid yatinga robo fainali Reviewed by Unknown on 02:15:00 Rating: 5

No comments

Recent