Home Top Ad

Responsive Ads Here

Sina mpango wa kubadili jina - Harmorapa

Hamorapa amesema maneno ya watu kuwa ameamua kujiweka upande wa Alikiba ingawa ameshindwa kujizuia kuonesha mahaba yake kwa msanii huyo.
"Mi sijali watu watakaosema mimi ni team Kiba kwa kuwa niliamua kumpigia Alikiba magoti ile ilitokana na heshima na amefanya vitu vikubwa na kuwakilisha nchi yetu vizuri, kwa mimi namuhusudu saana Ali Kiba". Alisema Hamorapa".
Hata hivyo Hamorapa amewapa ujumbe watu ambao wamamsema vibaya kwamba hawezi kuimba, wanapaswa kutambua kwamba wanavyomsema vibaya wanamfanya aongeze juhudi na kujua vingi kila siku kwa kutumia zile 'diss' wanazompa.
Sina mpango wa kubadili jina - Harmorapa Sina mpango wa kubadili jina - Harmorapa Reviewed by Unknown on 05:42:00 Rating: 5

No comments

Recent