Home Top Ad

Responsive Ads Here

SnapChat kupanda thamani ulimwenguni

Kampuni inayomiliki mtandao wa huduma za ujumbe wa SnapChat imepanda thamani baada ya kuuza hisa zake kwa wawekezaji wakubwa kutoka mjini New York na kufanikiwa kunyakua kitita cha dola bilioni ishirini na nne.
Kuanzia leo SnapChat, itakuwa na uwezo wa kuanza biashara ya hisa.
Kampuni hiyo imejichoma katika soko la hisa la Wall Street ambalo ni kubwa na kulingana na makampuni ya teknolojia, SnapChat ni ya pili kitanguliwa na Facebook iliyoundwa mwaka 2012.
Katika kipindi cha miaka mitano, SnapChat imefanikiwa kuwa kifaa cha majaribio kilichoundwa na wanafunzi wawili wajishughulishao na masuala ya mitandao ya kijamii yenye watumiaji laki moja na elfu sitini ulimwenguni kote.
SnapChat kupanda thamani ulimwenguni SnapChat kupanda thamani ulimwenguni Reviewed by pongwa trading on 03:24:00 Rating: 5

No comments

Recent