Home Top Ad

Responsive Ads Here

Afya ya rais Robert Mugabe yadhoofika

Rais wa Zimbambwe Robert Mugabe ameenda Singapore kufanya vipimo vya Afya yake, siku chache baada ya sherehe ya kufikisha miaka 93.
Mugabe amekua dhaifu zaidi, na sasa anapata shida hata kutembea wakati wa matukio mbalimbali ya kitaifa.
Msemaji wa rais huyo alisema kuwa vipimo hivyo ni vya mara kwa mara na Rais anatarajiwa kurejea nchini Zimbabwe wiki ijayo
Mugabe ni kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi duniani, aliingia madarakani mnamo mwaka 1980
Afya ya rais Robert Mugabe yadhoofika Afya ya rais Robert Mugabe yadhoofika Reviewed by pongwa trading on 03:21:00 Rating: 5

No comments

Recent