Home Top Ad

Responsive Ads Here

66 washikiliwa Moro kwa dawa za kulevya

watu takribani 66 washikiliwa na jeshi la polisi mkoani Morogoro kwa tuhuma mbalimbali zinazohusiana na kesi za madawa ya kulevya.
kamanda wa polisi mkoani hapo Ulrich Matei amesema huu ni mwendelezo wa mapambano haya mpaka kutokomeza wote
picha ikimwonyesha miongoni mwa watu waliothilika na madawa ya kulevya
66 washikiliwa Moro kwa dawa za kulevya 66 washikiliwa Moro kwa dawa za kulevya Reviewed by pongwa trading on 05:55:00 Rating: 5

No comments

Recent